Fixed Menu (yes/no)

Breaking News

JINSI GOOGLE INAVYOWEZA KUKUPATIA IMEI YA SIMU YAKO ILIYOPOTEA

 Image result for google and imei number



JINSI GOOGLE INAVYOWEZA KUKUPATIA IMEI YA SIMU YAKO ILIYOPOTEA Fahamu Jinsi ya kutumia Google Account yako kupata IMEI (International Mobile Station Equipment Identity) in case ulikuwa huna na kuhitaji kuitrack simu yako ILIYOPOTEA au KUIBIWA Requirement: Your Last devices that you were used to sign in with Your Google Accont and internet access! Kumbuka simu yako ina tarakimu 15 ambazo mara nyingi huwa zinakuwa chini ya battery yako unapoifungua simu au nyuma ya simu,! Vile vile unaweza kuipata kwa kupiga *#06# au kwa kwenda kwenye Setting> about > Status! Sasa imetokea umeibiwa simu, Kuidondosha au kuipoteza na hukufanikiwa kunakili sehemu yoyote IMEI yako hivi ndivyo jinsi kuipata kwa ajili ya kufanya imei tracking. Fungua Browser yako na uingie http://www.google.com/dashboard Sign in na Email yako uliyotumia katika simu yako na uende sehemu iliyoandikwa Android> devices Hapo utakuta Simu zako zote ulizowahi kutumia na Account yako hiyo ya google na IMEI zake! Hapo unaweza kwenda kituo cha polisi au katika mitndao yoyote y simu nchini na kuwaonesha imei yako kwa ajili ya kurudisha simu yako AHSANTE

No comments