KWANINI WINDOWS HAIFUNGUKI MPAKA UBONYE F1
KWANINI WINDOWS HAIFUNGUKI MPAKA UBONYE F1
inakuwa inakera sana pale unapowasha computer na kukutana na ujumbe "PRESS F1 TO CONTINUE .... " . Hili ni tatizo ambalo hutokea mara kwa mara kwenye computer zetu, na mtumiaji kushindwa kujua chanzo na sababu ya kutokea ujumbe huo, na kujikuta anatumia computer katika hali hyo kwa kipindi chote bila kusolve
KWANINI UNAKUTANA NA UJUMBE HUO
? inakutaka kupress F1 inawezekana kuna kitatizo kwenye hardware unatakitwa uangalie computer vizur
? Au inakutaka ungalie mpangilio wako wa BIOS
? na vile vile pengine inakuhitaji ubadikishe CMOS
hz sababu tatu zinaweza kwa njia moja au nyngn ikakuwafanya kukutana na ujumbe huo
Njia zinazoweza kukusaidia kuondoa tatizo hilo
? Nenda kwenye BIOS setting na load default setting.
sometime tunajifanya watundu kucheza na BIOS setting hasa kwa wale wanaopenda kubadilisha windows mara kwa mara pengine kuna setting uliweka vibaya na ndio ikawa sababu ya kutokea ujumbe huo so kwa kuload defaults setting unaifanya computer kuwa na setting yake ya asili
? Angalia na weka saa vzr kwenye BIOS setting
? Ikiwa hautumia Floppy kwenye computer yako nasi DISABLE floppy mode kwenye BIOS na badilisha kwenye Primary boot device as "HDD"
? Angalia option inayosema "HALT ON" hapa badilisha na weka "NO ERROR"
? SAVE hayo mabadiliko uliofanya kisha exit
? Restart computer
No comments