Fixed Menu (yes/no)

Breaking News

KUJUA AINA YA GRAPHIC CARD UTAKAYOWEZA KUTUMIA KWA AJILI YA COMPUTER YAKO

Image result for GRAPHIC CARD




 KUJUA AINA YA GRAPHIC CARD UTAKAYOWEZA KUTUMIA KWA AJILI YA COMPUTER YAKO.

Mbali na vitu vyote tunavyoweza kutumia kwenye computer zetu ila games imechukua nafasi kubwa sana kiasi ya kwamba inafika mtu kumaliza siku yke kwenye games.
ila mtumiaji hupata stress kwa kushindwa kuplay baadhi ya games kwenye computer yake.
kila mtumiaji wa games kwenye pc anahitaji vitu viwili kwanza game yenye na pili ni graphics
ikiwa computer yako haina uwezo mkubwa wa graphic basi vile vile hutoweza kuplay game mpya mambo kila siku zinazidi kutengezwa

inachotakiwa ni kutafuta computer au graphics gani ambayo inaendana na matumizi yako.
jambo la kwanza kabisa kujua ni kuangalia kuwa motherboard yako ina PCIe x16 slot au la.
graphics card inahitaji PCIe x16 (PCI Express) slot pekee ili uweze kuplay game vzr kwenye computer

ili kuona PCIe x16 (PCI Express) slot fungua computer yako kisha angalia kwenye motherboard sehem zinazofana kama sehem ya kuchomeka ram itakuta line tofauti humo na kila line na kazi yake tafuta iliyoandikwa PCIe x16 (PCI Express) slot
au unaweza kuingia kwenye website ya computer yako kuangalia aina ya motherboard yko. (kama hutaki kifungua)

baada ya kuiona PCIe x16 (PCI Express) slot kuna kitu hapa kwanza unatakiwa ujue
? Uwezo wa PCI Express
? Power Consumption

Uwezo wa PCI Express
ikiwa umekuta hyo slot kwenye motherboard yko inachotakiwa sasa ni kujua aina ya slot na uwezo wa slot hyo kwenye computer
kuna aina mbili za slot PCIe x 16 2.0 hii ni second generation na PCIe x16 3.0 ni toleo la tatu zote zinafanana ila hii 3.0 ina double of bandwidth kuliko 2.0
kutumia graphics card inayosupport PCIe x16 3.0 kwenye PCIe x16 2.0 inapelekea kupunguza uwezo wa graphics card kufanya kazi vizri. ikiwa unahitaji kuplay game kubwa basi utahitaji computer yenye PCIe x16 3.0
kwa hyo ikiwa una PCI Express x16 2.0 (PCIe x16 2.0) slot kwenye motherboard yako basi unatakiwa kununua video card ambyo itarun kwenye 2.0 hapa itafanya kazi vizr

na ikiwa una PCI Express x16 3.0 (PCIe x16 3.0) slot kwenye motherboard yako basi nunua video card ambayo inauwezo wa kurun kwenye 0 slot hapa itafanya kzi vzr

angalia motherboard specification kwenye internet ili ujue una aina gani ya PCIe x16

No comments