Tumia Notepad kama Diary
Tumia Notepad kama Diary
Watu wengi hutumia notepad kuandika notes zao.Hii njia inakuwezesha kutumia notepad kama diary kwa kazi zako
>Fanya Haya
1)fungua notepad,halafu andika .LOG(CAPSLOCK Iwe sensitive)
2)save kwa jina lolote unalotaka,kisha funga(close) file lako la notepad
3)Fungua tena hilo file kwa double-click
4)Andika notes zako,zisave halafu close hiyo notepad\
Hapo ukifungua hilo file utaona linadisplay muda(saa,dakika na terehe) kwa kila muda utakapoandika kazi zako.
...........................KWISHA KAZI.......................

No comments